Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mgunda atoa ufafanuzi kuhusu kupoteza nafasi nyingi Uwanjani

13 May 2024

Mgunda amesema kukosa mabao kwa mshambuliaji ni jambo la kawaida kwakuwa ni sehemu ya mchezo na yeye kama kocha ataendelea kumpa nafasi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mgunda amezungumzia pia kuhusu hali ya kikosi kuelekea mechi za mwisho za kukamilisha msimu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story