Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mgunda afunguka baada ya ushindi dhidi ya Baobab

28 Dec 2023

Mgunda amesema mazuri yaliyofanyika katika mchezo wa leo yataboreshwa na yale mapungufu yatafanyiwa kazi lengo likiwa kuhakikisha tunapata pointi tatu kwenye kila mechi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mgunda amewamwagia sifa pia wachezaji kwa kazi kubwa waliyofanya.

Advertisement
Back to homepage
Share this story