Simba Sports Club
News

VIDEO: Mgunda aelezea umuhimu wa mchezo dhidi ya Raja

28 Mar 2023

Mgunda amesema tutautumia mchezo dhidi ya Raja kama sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Robo Fainali ambao tayari tumefuzu.

Mgunda ameongeza kuwa hatua ya Robo Fainali tutaenda kukutana na timu yenye ubora kama ilivyo Raja kwahiyo tunauchukulia mchezo huo kama sehemu ya maandalizi.

Advertisement

Tazama Video yote uone jinsi Mgunda alivyoelezea kuhusu maandalizi ya mchezo na taratibu zote zilivyo.

Back to homepage
Share this story