Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mgunda aelezea maandalizi ya timu kuelekea michuano ya CECAFA

13 Aug 2024

Mgunda amesema tuna kikosi imara na hata usajili wa nyota wapya waliosajiliwa umezingatia mahitaji ya timu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mgunda amezungumzia pia kuhusu malengo ya nchi ambayo yanashabihiana na ya klabu

Advertisement
Back to homepage
Share this story