Mgunda amesema wachezaji wapo tayari kimwili na kiakili kupambana na Wydad huku wakijua hataikuwa mechi rahisi hata kidogo.
Tazama mahojiano yote aliyofanya, Mgunda na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally huku akigusia pia suala la Moses Phiri