Mgunda amesema kila timu inayoshiriki michuano hii ni bingwa kutoka kwenye nchi yake hivyo hatuwezi kudharau yoyote, tutaingia kesho kwa tahadhari zote na kupata ushindi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mgunda amezungumzia pia hali ya majeruhi kwenye kikosi.