Mgunda amesema kila kocha anatamani kuwa na kikosi chake kamili anapofanya maandalizi ya mchezo ili awe na wigo mpana kujiandaa.
Mgunda pia amezungumzia usajili wa nyota wapya tuliowasajili dirisha dogo, tazama mahojiano yote aliyofanya na Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally.