Kwa upande wao mshambuliaji Aisha Mnunka na kiungo, Vivian Corazone wamefunguka kuwa pamoja na ugumu ambao tunatarajia kukutana nao lakini wapo tayari kuhakikisha tunarudi na alama zote sita kutoka Kanda ya Ziwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho watatu hao wamefunguka kuelekea mechi hizo za Kanda ya Ziwa.