Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mgosi azungumzia maandalizi ya mchezo dhidi ya Bunda Queens kesho

8 May 2024

Mgosi amesema mchezo utakuwa mgumu kutoka na Bunda kuwa na timu imara lakini tumefanya maandalizi mazuri na tuna imani tutafanya vizuri.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho nahodha wa timu, Violeth Nicholas nae amezungumza maandalizi kwa niaba ya wachezaji.

Advertisement
Back to homepage
Share this story