Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mgosi asema maandalizi dhidi ya Yanga yamekamilika

2 Jan 2024

Mgosi amesema mchezo utakuwa mgumu kutokana na wapinzani hao kuendelea kuongeza ubora wao siku hadi siku lakini tumejiandaa vizuri huku malengo yakiwa ni kuchukua pointi zote tatu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho kocha Mgosi amezungumzia pia kuhusu hali za wachezaji.

Advertisement
Back to homepage
Share this story