Mgosi amesema kikosi kitaondoka kesho saa nne asubuhi kuelekea jijini Dodoma tayari kwa mchezo huo utakaopigwa Uwanja wa Jamhuri Ijumaa ya Februari 2.
Tazama mahojiano haja hadi mwisho Kocha Mgosi amezungumzia pia kuhusu mchezo utakaofuata baada ya Fountain Gate Princess.