Mgosi amesema ushindani huo umetokana na wachezaji wapya tuliowasajili kuonyesha uwezo mkubwa huku wale wazamani nao wakitaka kuzitetea nafasi zao.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mgosi amegusia pia kuhusu ujio wa kocha Juma Mgunda ambaye ataungana na kikosi hicho.