Igendia amesema wachezaji wote 23 tuliosafiri nao wapo kamili kiafya kwa asilimia 100 na wanashiriki mazoezi hayo kikamilifu chini ya Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha.
Tazama Mahojiano haya hadi mwisho Meneja Igendia amezungumzia pia hali ya mchezaji mmoja mmoja na wale walioitwa timu za Taifa.