Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Meneja wa timu atoa sababu ya wachezaji waliobaki Dar

21 Feb 2024

Igendia amesema mlinda mlango Ayoub Lakred amebaki kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano wakati Willy Onana na nahodha John Bocco wao wanauguza majeraha.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya Meneja Igendia amezungumzia pia kuhusu hali ya kikosi tangu kilipotua jana nchini Ivory Coast.

Advertisement
Back to homepage
Share this story