Simba Sports Club
News

VIDEO: Meneja wa timu ana matumaini makubwa na timu 2023/24 Meneja wa timu

7 Jul 2023

Igendia ameongeza kuwa yeye katika Kitengo chake amejipanga kuhakikisha anakuwa kiungo baina ya wachezaji na benchi la ufundi ili kumfanya kocha mkuu kutimiza majukumu yake kwa ufanisi.

Fuatilia hadi mwisho mahojiano haya kuona mipango aliyoainisha mtaalamu huyu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story