Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Meneja Rweyemamu atoa ratiba baada ya timu kufika Arusha

29 May 2025

Rweyemamu amesema baada ya timu kufika Arusha leo jioni wachezaji watafanya mazoezi ya utimamu wa mwili na kesho kitaanza safari ya kuelekea Manyara tayari kwa mchezo Jumamosi wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup dhidi ya Singida Black Stars.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Rweyemamu amezungumzia pia hali ya wachezaji wote tuliosafiri nao.

Advertisement
Back to homepage
Share this story