Rweyemamu amesema Manyara hakuna sehemu nzuri ya kufanya maandalizi mazuri kabla ya kuivaa Fountain Gate FC siku ya Alhamisi ndio sababu ya kuichagua Dodoma.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Rweyemamu amezungumzia hali za wachezaji Yusuph Kagoma, Abdulrazack Hamza na Kibu Denis ambao walipata majeraha katika mchezo uliopita.