Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Meneja Rweyemamu asisitiza nidhamu kwa wachezaji

23 Jul 2024

Rweyemamu amesema ana uzoefu wa kufanya kazi na wachezaji mbalimbali wenye tabia tofauti hata hawa waliopo kikosini ingawa ni vijana wadogo hawatampa changamoto yoyote.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Rweyemamu amezungumzia pia benchi la ufundi na maono ya Kocha Fadlu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story