Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Meneja Rweyemamu afunguka kuhusu kuondoka kwa timu kesho

15 Oct 2025

Meneja Rweyemamu amesema timu itaondoka na Msafara wa watu 50, wachezaji wakiwa 22 ambapo watasafiri na Shirika la Ndege la Tanzania wakipitia Afrika Kusini kabla ya kuunganisha mpaka Eswatini.

Tazama video hii hadi mwisho Meneja Rweyemamu amezungumzia pia ratiba nzima baada ya timu kufika Eswatini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story