Pantev amesema timu imecheza vizuri ingawa kulikuwa na mapungufu ya kiufundi kitu ambacho tunapaswa kukifanyia kazi katika mchezo wa marudiano.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Pantev amezungumzia pia mabadiliko ya wachezaji aliyofanya kipindi cha pili.