Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Meneja azungumzia hali timu baada ya kufika Uturuki

11 Sep 2024

Rweyemamu amesema kutokana nakuwa itabidi tukae Uturuki kwa saa takribani 16 tumeamua kuchukua hoteli ya karibu na Uwanja wa Ndege ili wachezaji wasichoke kabla ya kesho kuendelea na safari.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Meneja Rweyemamu amezungumzia kuhusu wachezaji waliokuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story