Ahmed amesema Bodi ya Ligi imethibitisha kuwa mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa KMC Complex hivyo amewataka mashabiki kuhakikisha wananunua tiketi zao mapema.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia hali ya kikosi pamoja na wachezaji majeruhi.