Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mechi dhidi ya Dodoma ilikuwa ngumu

29 Sep 2024

Kocha Fadlu amesema tulikuwa na uwezo wa kupata ushindi mnono wa zaidi ya mabao manne mpaka matano lakini hatukuweza kuzitumia vizuri nafasi tulizopata.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia kuhusu mabadiliko ya wachezaji aliyofanya.

Advertisement
Back to homepage
Share this story