Ahmed amesema baada ya wachezaji kutoka kwenye majukumu ya timu za taifa wataweza kuwahi mechi hiyo ambayo itapigwa katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Tazama mahojiano haya hadi Ahmed amewaita mashabiki kujitokeza kwa wingi siku hiyo kuipa sapoti timu.