Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy ni hatma yetu

26 Feb 2024

Zimbwe Jr amesema tunawajua vizuri Jwaneng ubora na mapungufu yao tutaingia kwa tahadhari ili kuhakikisha hatufanyi makosa yatakayo tugharimu ili tufuzu hatua ya robo fainali.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Zimbwe amewaita mashabiki kujitokeza kwa wingi siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuipa sapoti timu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story