Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mchezo dhidi ya Al Hilal ulikuwa wa tathimini

31 Aug 2024

Ahmed amesema Al Hilal hawana tofauti na Al Ahly Tripoli kiuchezaji na mchezo wa leo umetufanya kujua tunatakiwa kuboresha ni nini kabla ya kukutana nao.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amechambua viwango vya wachezaji wote waliocheza leo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story