Simba Sports Club
News

VIDEO : Mazoezi ya mwisho kwa Mkapa

12 Mar 2022

Morali ya wachezaji ipo juu na kila mmoja amejitahidi kuonyesha uwezo mazoezini ili kulivutia benchi la ufundi kesho apewe nafasi ya kuanza.

Katika mchezo huo tunahitaji pointi tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye kundi letu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story