Simba Sports Club
News

VIDEO: Mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Geita kesho

11 Feb 2024 By simbasc 601 views
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold. Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi yalivyokuwa.   https://youtu.be/UrDjjnTuVbk?si=wHr3jkyBn0cieje9
Advertisement
Back to homepage
Share this story