Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mazoezi ya Leo Morocco

7 Dec 2023

Nyota wetu 22 ambao tumesafiri nao wameshiriki mazoezi hayo kikamilifu na wapo kwenye utimamu mzuri kitu kinachoipa wigo mpana benchi la ufundi kupanga kikosi siku ya Jumamosi.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi ilivyokuwa wakati timu ikiwa mazoezini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story