Simba Sports Club
News

Video: Mazoezi ya kwanza nchini Benin

18 Mar 2022

Kikosi kilitua nchini hapa mchana na wachezaji wakapewa mapumziko ya muda kabla ya kuanza mazoezi jioni.

Kesho timu itafanyika mazoezi ya mwisho tayari kwa kuikabili ASEC Mimosas katika mchezo utakaopigwa Jumapili saa moja usiku kwa saa za nyumbani.

Advertisement
Back to homepage
Share this story