Simba Sports Club
News

VIDEO: Mazoezi ya kwanza baada ya kikosi kurejea

25 Jan 2024 By simbasc 950 views
Kikosi kimeanza mazoezi ya gym kuweka miili sawa baada ya mapumziko ya wiki mbili waliyopata wachezaji tangu kumalizika kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.   https://youtu.be/ZBqYCWFdRzs?si=dXGajikiPEgpEmNM
Advertisement
Back to homepage
Share this story