Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mazoezi ya jioni kujiandaa na Al Hilal

29 Aug 2024

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo isipokuwa Ally Salim, Edwin Balua na Mohamed Hussein ambao wameitwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story