Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mayele anaamini tunaweza kufuzu

4 Apr 2024

Mayele amesema kila kitu kinawezekana kwenye mpira ila kinachotakiwa kupambana hadi mwisho na kuhakikisha hatuwapi nafasi Al Ahly kuanzisha mashambulizi.

Tanzania mahojiana haya mwisho Mayele amezungumzia pia kuhusu Al Ahly kuwa na hofu kubwa kuelekea mchezo wa kesho.

Advertisement
Back to homepage
Share this story