Matola amesema haukuwa mchezo rahisi kutokana na Namungo kuzuia kwa idadi kubwa hali iliyokuwa inatupa ugumu lakini wachezaji walipambana mpaka ushindi ukapatikana.
Tazama mahoajiano haya mpaka mwisho Matola amesema wachezaji wamepewa mapumziko ya siku chache kabla ya kurejea kujiandaa na mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.