Matola amesema mchezo dhidi ya Jwaneng ndio utatupa tiketi ya kufuzu hatua ya robo fainali hivyo tunahitaji uwepo wa mashabiki wengi uwanjani ili kuipa sapoti timu na hatimaye tufanikiwe kuchukua ubingwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, kiungo mkabaji Mzamiru Yassin nae amezungumzia kuhusu mchezo dhidi ya Jwaneng.