Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Matola asimulia tulivyowatoa Zamalek mwaka 2003

24 Mar 2024

Matola ambaye alikuwa nahodha wa timu kipindi kile amesema wiki moja kabla ya mchezo dhidi ya Zamalek tulienda kuweka kambi Zanzibar na tulianzia nyumbani kama hivi ilivyo katika mchezo wetu unaofuata dhidi ya Al Ahly.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Matola amezungumza mengi yaliyotokea kuanzia maandalizi, mchezo wenyewe hadi Zamalek kushangilia licha ya kupoteza mechi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story