Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Matola amesema mchezo dhidi ya Tembo umetupa mwanga

1 Feb 2024

Matola amesema wamekiona kikosi kilivyocheza na wao kama benchi la ufundi wamejua waanzie wapi ili tufanye vizuri katika mchezo unaofuata.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Matola amezungumzia pia kuhusu mchezo dhidi ya Mashujaa ambao utapigwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma.

Advertisement
Back to homepage
Share this story