Simba Sports Club
News

Video: Matola afunguka kuhusu kuanza kozi kesho

20 Nov 2022

Matola amesema hata pesa ya kozi amelipiwa na klabu na amepewa baraka zote hivyo bado atabaki kuwa Simba.

Matola amelishukuru Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kwa kuandaa kozi hizo ambazo ni adimu na kupatikana ambazo ni msaada mkubwa kwa makocha wazawa.

Advertisement

Taarifa kwa urefu endelea kuangalia video hii.

Back to homepage
Share this story