Matola amesema haikuwa mechi rahisi kutokana na ubora wa Mashujaa lakini wachezaji walipambana hadi mwisho kuhakikisha timu inapata ushindi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Matola amezungumzia pia mchezo wetu unaofuata wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly.