Matola amesema kikosi kipo kwenye hali nzuri isipokuwa mlinzi wa kati Henock Inonga hatakuwa sehemu ya mchezo wa kesho kutokana na kupata maumivu katika mechi iliyopita dhidi ya Al Ahly.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho kocha Matola amezungumzia kiufundi mchezo wenyewe jinsi utakavyokuwa.