Barker amesema katika mchezo huo hatukuwa bora sana kipindi cha kwanza lakini cha pili tulivyoongeza umakini ingawa hata hivyo hatukuweza kupata bao.
Tazama mahojiano haya mpaka mwisho Barker ametoa sababu ya kumchezesha mlinzi wa kati, Hussein Mbegu kama mshambuliaji.