Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Matokeo dhidi ya Tanzania Prisons yametuumiza

7 Mar 2024

Ahmed amesema sisi ni timu bora na tumetoka kufanya vizuri kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini makosa mawili tuliyofanya wenzetu wameyatumia na kutuadhibu.

Tazama Video hii mpaka mwisho Ahmed amezungumzia pia mchezo wetu unaofuata dhidi ya Coastal Union.

Advertisement
Back to homepage
Share this story