Barker amesema wachezaji walijitahada kubwa za kuhakikisha tunapata ushindi lakini haikutokea huku akitoa taarifa ya wachezaji majeruhi akimtaja Inno Jospin Loemba.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Barker amezungumzia pia kikosi kurejea Dar es Salaam na ratiba kwa ujumla.