Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Masinde ataja siri ya ushindi dhidi ya Greenland

17 Feb 2026

Masinde amesema wachezaji wengi walioanza hawakuwa wakipata nafasi kwenye kikosi cha kwanza hivyo kila mmoja alikuwa anataka kuonyesha uwezo wake.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Masinde amezungumzia pia mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons.

Advertisement
Back to homepage
Share this story