Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mashaka ataja siri ya ushindi dhidi ya Kilimanjaro Wonders

26 Jan 2025

Mashaka amesema haikuwa mechi rahisi kwakuwa tulikuwa hatuwajui vizuri wapinzani ndio maana mwalimu aliwaagiza kuhakikisha tunapata bao la mapema ili kuwatoa mchezoni.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mashaka amezungumzia pia kuhusu mechi zetu mbili zijazo za ugenini za Ligi Kuu ya NBC.

Advertisement
Back to homepage
Share this story