Chamou amesema mashabiki wetu hawajawahi kutuacha mara zote kwenye mechi zetu kitu ambacho kinawapa hamasa wachezaji kujituma uwanjani.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Chamou amezungumzia pia jinsi msimu utakavyokuwa.