Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mashabiki Mwanza Kuijaza CCM Kirumba Ijumaa

7 Feb 2024

Mashabiki hao wamesema wameikumbuka timu yao na sio mara nyingi wanapata nafasi ya kuiona Mubashara uwanjani hapo kwahiyo hii kwao ni kama fursa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho uone Mandhari ya jiji la Mwanza pamoja na shughuli za kiuchumi ikiwemo uvuvi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story