Manula amesema kila Mtanzania matarajio yake yalikuwa kuiona Taifa Stars ikifuzu AFCON kwa mara ya nne ambapo wachezaji walikuwa wanajua kitu gani wanapswa kufanya.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Manula amezungumzia furaha yake ya kuiwezesha Tanzania kufuzu kwa mara ya tatu.