Simba Sports Club
News

VIDEO: Manula aanza mazoezi ya uwanjani

1 Sep 2023

Manula amefanyiwa upasuaji Juni mwaka huu nchini Afrika Kusini na alikuwa akifanya mazoezi ya Gym kuweka mwili sawa lakini leo ameanza mazoezi ya uwanjani.

Tazama hadi mwisho video hii kuona jinsi hali ya mlinda mlango huyu namba moja wa Simba pamoja na Taifa Stars.

Advertisement
Back to homepage
Share this story