Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Mangungu asisitiza Mshikamano mechi ya marudiano dhidi ya Al Masry

3 Apr 2025

Mangungu amesema kikosi chetu kilikosa bahati na kukubali kupoteza kwa mabao 2-0 lakini tulikuwa bora kila eneo zaidi ya Al Masry.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mangungu ameweka wazi kuwa tuna nafasi kubwa ya kupindua matokeo kwa Mkapa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story